Soko jipya mavazi yamitindo ya wanawake Kama DadoSoko litafunguliwa jijini Nairobi Jumamos Jumamos hii, Katika klabu cha burudani cha K1 eneo la Parlands. Soko hilo jipya ambalo pia litakuwa linapatikana kupitia mitandaoni na linafuatia kufunguliwa kwa jingine nchini Marekani , eneo la Waldorf Astoria Las Vegas mapema mwezi huu. Mapambo pamoja na mavazi ya kila aina ya wanawake, yatakuwa yakiuzwa katika soko hilo na ni mradi ulioanzishwa na kundi laa wanawake wajasiriamali.